Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe: Sauda Salum Mtondoo amezindua rasmi Magari ya uondoshaji wa majitaka na ugawaji wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja.
Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji pamoja kwenye hafla ya uzinduzi wa Magari ya uondoshaji wa majitaka na ugawaji wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja.
Mkurugenzi wa IGUWASA, RUWASA Wilaya na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji pamoja kwenye hafla ya uzinduzi wa Magari ya uondoshaji wa majitaka na ugawaji wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja.
Viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Igunga pamoja kwenye hafla ya uzinduzi wa Magari ya uondoshaji wa majitaka na ugawaji wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja.
Viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Igunga na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji pamoja kwenye hafla ya uzinduzi wa Magari ya uondoshaji wa majitaka na ugawaji wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja.
Mkuu wa Wilaya ya Igunga na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira Igunga (IGUWASA) kwenye hafla ya uzinduzi wa Magari ya uondoshaji wa majitaka na ugawaji wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja.
Viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Igunga na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji pamoja kwenye hafla ya uzinduzi wa Magari ya uondoshaji wa majitaka.
Mkurugenzi wa IGUWASA katika hafla ya uzinduzi wa Magari ya uondoshaji wa majitaka.