Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga
(IGUWASA)

Dhamira na Maono

Dira ya Mamlaka.

Kuwa miongoni mwa Mamlaka zinazotoa huduma bora na endelevu za Majisafi na Usafi wa mazingira.

Dhima ya Mamlaka.

Tunadhamiria kutoa huduma ya maji ya kutosha na inayokidhi viwango vya ubora pamoja na  huduma ya Usafi wa Mazingira.