Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga
(IGUWASA)

Hafla ya uzinduzi wa magari ya majitaka.

02 Sep, 2025

Tunakukaribisha mdau wetu kushiriki katika hafla ya uzinduzi wa magari ya majitaka pamoja na ugawaji wa mkataba wa huduma kwa mteja siku ya ijumaa tarehe 05/09/2025, katika ukumbi wa IGUWASA kuanzia saa 03:00 asubuhi. Karibu sana ushiriki nasi.