Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga
(IGUWASA)

Huduma za Maji

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga (IGUWASA) ina lengo la kusambaza Huduma ya Majisafi na Salama yanayoweza kutosholeza wakazi wa Kata ya Igunga Mjini, Mwamashimba, Mbutu, Isakamaliwa (Hindishi), Nguvu Moja (Mwalala) na Ikulamawe.