Wajumbe wa Bodi
Wajumbe wa Bodi
WAJUMBE WA BODI.
|
Na |
Jina |
Nafasi |
Uzoefu |
|
1 |
Bernad V. Kimbuley |
Mwenyekiti |
Afisa Elimu Mwandamizi Mstaafu - Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. |
|
2 |
Alexander E. Ntonge |
Katibu |
Uzoefu wa Miaka 10 katika Huduma za Ugavi wa Maji na Usafi wa Mazingira, Utawala na Usimamizi wa Taasisi. |
|
3 |
Selwa Hamid |
Mjumbe |
Uzoefu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya. |
|
4 |
Jackson Sima |
Mjumbe |
Katibu Tawala wa Wilaya Mstaafu, Mahakama Mstaafu, Afisa Mtendaji na Mfanyabiashara. |
|
5 |
Costa Olomi |
Mjumbe |
Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Magreth, Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi IGUWASA, Mwenyekiti Mstaafu wa Wilaya ya Igunga- CCM na Mfanyabiashara. |
|
6 |
Rehema Kusengwa |
Mjumbe |
Mjasiriamali. |
|
7 |
Kulwa Kagolo |
Mjumbe |
Mwakilishi Mshauri. |