Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga
(IGUWASA)

Malipo

FAHAMU JINSI YA KUJUA ANKARA(BILI) YAKO ILI UWEZE KULIPIA

  • Piga *152*00#
  • Chagua Namba 6 (Maji)
  • Chagua Namba 1 (Huduma za Maji za Pamoja)
  • Chagua Namba 3 (Uliza Deni Lako)

                Nb: Gharama Zitatumika.

  • Pia Unaweza Kuangalia Ankara(Bili) yako kupitia 'application' ya GePG.