Huduma za Usafi wa Mazingira
Huduma za Usafi wa Mazingira
IGUWASA kwasasa inatumia njia moja ya majitaka. Njia hiyo ya kubeba majitaka ni ya kutumia magari ya majitaka kubeba takataka hizo na kisha kuzipeleka kwenye Mabwawa ya kutibu Majitaka.