Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga
(IGUWASA)

Hafla ya uzinduzi wa magari ya majitaka.

Imewekwa: 02 Sep, 2025
Hafla ya uzinduzi wa magari ya majitaka.

HAFLA YA UZINDUZI WA MAGARI YA UONDOSHAJI WA MAJITAKA NA UGAWAJI WA MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA, HAFLA HIYO IMENYIKA KATIKA SIKU YA IJUMAA TAREHE 05 SEPTEMBA UKUMBI WA IGUWASA NA MGENI RASMI ALIKUWA MHE SAUDA SALUM MTONDOO, MKUU WA WILAYA YA IGUNGA.