Fomu
OMBI LA MKATABA MPYA/OMBI LA KUUNGANISHIWA HUDUMA:
Sehemu 1: Viambatanishi vya mteja/Taarifa za mteja:
Jina |
|
Anwani |
|
Simu |
|
Barua pepe |
|
Na. ya Akaunti (Kama inatumika) |
|
Tamko/K |
Kuunganishiwa maji Kukatiwa maji Vigezo vinavyotumika kuomba kwa:
|
|||||
Na. Kitalu: |
Jengo |
Na. ya nyumba |
|||
Kata |
Mtaa |
Kanda |
Angalizo:
………………………… ……………………. …………………... Jina la mali unayomiliki Sahihi Tarehe |
…………………………. …………………..... Sahihi Meneja biashara Tarehe
|
Sehemu 2: Kwa matumizi ya ofisi tu.
Jina la fundi |
Tarehe ya kukagua Muda |
||||
|
|||||
Namna ya kumuunganisha mteje GPS |
Namna ya kuweka alama ya GPS |
||||
Mashariki |
Mash (E) 0 |
Mashariki |
Mash (E) 0 |
||
Kusini |
Kus (S) 0 |
Kusini |
Kus (S) 0 |
||
Kimo |
M |
Kimo |
M |
||
Idadi tarajiwa ya watumiaji wa maji kwa wenye vigezo: |
|
|
|
Aina ya choo kilichopo (weka vema) Tundu la kokwa Tundu la maji Kuweka mifereji ya maji
machafu
Imeidhinishwa na Meneja Ufundi NDIYO HAPANA |
|||||||||||||
……………….. ……………. Sahihi Meneja Tarehe Ufundi |
Kiasi kilichopo ………………. Na. ya RRV |
……………………… ………………… Sahihi Afisa Tarehe Mpokeaji Na. Stamp |
|||||||||||
|
Ukubwa wa mm Bomba la maji |
Ukubwa wa bomba la kupitisha Maji mm |
|||||||||||
Umbali kutoka kwenye vyanzo hadi kwa mteja M |
Kina cha mfereji cm |
Ukubwa wa mfereji cm |
|||||||||||
…………………. ………………. Sahihi Fundi Tarehe |
Na. ya Akaunti……………………… Na. ya Mita ………………….......... |
……………………... ………………… Sahihi Tarehe Afisa Masoko na Stamp. |
|||||||||||
KIBALI CHA KUPATIWA HUDUMA YA MAJI
- Rejea maombi ya kupatiwa huduma ya maji kwa ajili ya ………………… (matumizi ya nyumbani, Ujenzi, Biashara, Taasisi, kuuza maji, Umwagiliaji, ufugaji)
- Ukitumia maji kinyume na maombi yako utatozwa faini isiyozidi Tshs 5,000,000/= Au kifungo kisichopungua miezi sita kwa mujibu wa kifungu cha 65 cha sheria ya maji Namba 5 ya mwaka 2019.
- Malipo yote ya uvutaji wa maji yanatakiwa kulipwa kwa namba ya malipo ya serikali na siyo kulipwa kwa mtu yoyote mkononi.
- Mita au Dira isipotumika ndani ya miezi 3 mfululizo, mamlaka italazimika kuondoa dira ya maji na kuitumia kwa mteja mwingine.
- Ukitumiwa bill unatakiwa ulipe deni lako ndani ya siku 30 kwa mujibu wa kifungu cha 72 cha sheria ya maji namba 5 ya mwaka 2019, usipolipa utakumbushwa kwa mara nyingine na ukishindwa kulipa basi utasitishiwa huduma ya maji na utalazimika ulipe ada ya kurudisha huduma Tshs 15,000/= ndio urudishiwe huduma hiyo.Bei hii itabadilika kutokana na mabadiliko ya bei za maji kwa mujibu wa sheria za Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji.
NIMEKUBALIANA NA MASHARTI HAYO
Jina la Mteja…………………………………….Sahihi………………………
Jina la Mwanasheria……………………………Sahihi……………………..
Meneja Biashara………………………………..Sahihi………………………
YAH: MAKABIDHIANO YA DIRA YA MAJI
- Leo Tarehe ……………..................... tumekabidhiana dira ya maji na Mteja ……………………………………………... anaeishi ………………... eneo la………………...Namba ya dira……………………………
- Mteja anapaswa kulipia Ankara ya maji kwa mwezi kama ilivyopitishwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA) kwa tangazo namba……………….…. kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
- Matumizi ya Nyumbani kwa unit moja ni Tshs.1666/=
- Matumizi ya Taasisi kwa unit moja ni Tshs. 1850/=
- Matumizi ya Biashara kwa unit moja ni Tshs. 2900/=
- Magati (Kiosk) kwa unit moja ni Tshs. 1500/=
- Bei hii inaweza kubadilika kulingana na miongozo ya Sheria.
- Dira itafungwa kwa idhini ya Mamlaka kwa kutumia mafundi wa Mamlaka tu, na mteja atawajibika kuitunza dira atakayokabidhiwa, iwapo dira itaharibika kwa kukusudia au kwa kutoitunza ili kupunguza usomaji, mteja atasitishiwa huduma na atalazimika kulipa thamani ya dira.
- Dira itafungwa Seal Wire ili kudhibiti uharibifu wa dira, mteja atapaswa kuitunza na endapo itakatwa kwa uzembe au kwa hujuma mteja atawajibika kulipia gharama za usumbufu kadri Mamlaka itakavyoamua kwa kuzingatia sharia/
NIMEKUBALIANA NA MASHARTI HAYO
Jina la Mteja…………………………………….Sahihi………………………
Jina la Mwanasheria……………………………Sahihi……………………..
Meneja Biashara………………………………..Sahihi………………………
OMBI LA MKATABA MPYA/OMBI LA KUUNGANISHIWA HUDUMA:
Sehemu 1: Viambatanishi vya mteja/Taarifa za mteja:
Jina |
|
Anwani |
|
Simu |
|
Barua pepe |
|
Na. ya Akaunti (Kama inatumika) |
|
Tamko/K |
Kuunganishiwa maji Kukatiwa maji Vigezo vinavyotumika kuomba kwa:
|
|||||
Na. Kitalu: |
Jengo |
Na. ya nyumba |
|||
Kata |
Mtaa |
Kanda |
Angalizo:
………………………… ……………………. …………………... Jina la mali unayomiliki Sahihi Tarehe |
…………………………. …………………..... Sahihi Meneja biashara Tarehe
|
Sehemu 2: Kwa matumizi ya ofisi tu.
Jina la fundi |
Tarehe ya kukagua Muda |
||||
|
|||||
Namna ya kumuunganisha mteje GPS |
Namna ya kuweka alama ya GPS |
||||
Mashariki |
Mash (E) 0 |
Mashariki |
Mash (E) 0 |
||
Kusini |
Kus (S) 0 |
Kusini |
Kus (S) 0 |
||
Kimo |
M |
Kimo |
M |
||
Idadi tarajiwa ya watumiaji wa maji kwa wenye vigezo: |
|
|
|
Aina ya choo kilichopo (weka vema) Tundu la kokwa Tundu la maji Kuweka mifereji ya maji
machafu
|