Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga
(IGUWASA)

Tangazo la nafasi ya ajira za kujitolea

Imewekwa: 12 May, 2026
Tangazo la nafasi ya ajira za kujitolea

Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Igunga, anapenda kuwatangazia Wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi mbalimbali za kujitolea kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa nafasi zifuatazo: Tafadhali pakua hapa, TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA ZA KUJITOLEA